Exodus 40:31-32

31 aNaye Musa, Haruni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao. 32 bWakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Musa.

Copyright information for SwhKC